• Challenges on Implementation of Climate Change Policy in Tanzania

  An Info Note which assess how and to extent climate change issues have been mainstreamed into Tanzania’s national policy and strategic documents with the title “Barriers to successful climate change policy implementation in Tanzania” highlight challenges for inadequate implementation of climate change policies in the country. The info note broadly acknowledge the Tanzania government efforts towards addressing the adverse impacts of climate change at the international, national and local levels. Efforts at the national level include the development of effective strategic and institutional frameworks such as the National Climate Change Strategy of 2012 and Zanzibar Climate Change Strategy of 2014 that are crucial for the enhancement of the country’s climate change adaptation and mitigation agenda. The two climate change strategies aim to, among other objectives, build capacity to climate change; enhance institutional and coordination arrangements to adequately address climate change; enhance participation in climate change mitigation activities; and mobilize financial support to tackle climate change. In the Agriculture sector, strategic policy documents such as National Agriculture Policy (2013), the Agriculture Climate Resilience Plan (2014), the National Climate Smart Agriculture Programme (2015), the National Climate Smart Agriculture Guideline (2017) and National Climate Smart Agriculture Country Profile (2017) have also been developed for the same cause. However, lack of an effective national finance mechanism to direct climate funds slows down implementation of climate change policies. This is claimed to be influence by the absence of comprehensive financing plan in the policy documents that highlights an expected source for funding for budgeted costs to execute implementation of its climate change agenda. Poor coordination of climate change actions from the national level to the local level is another highlighted challenge; poor coordination among stakeholders hinders effective implementation of climate change actions as stipulated in the policy documents. With considerably low adaptation responses to climate change issues among stakeholders, owing to limited climate change knowledge across levels, effective implementation of climate change policies requires an enhancement of country-level institutional capacities to strengthen the process to tackle climate change issues. To address challenges of poor coordination and limited climate change knowledge in the agriculture sector. The Tanzania Climate-Smart Agriculture Alliance (TCSAA) represents a promising opportunity for improved coordination, dialogue, and information sharing on Climate-Smart Agriculture related issues across levels in the country as recommended in the Tanzania Climate-Smart Agriculture Country Profile.  

  Continue reading
 • Utabiri wa Mvua za Msimu, Novemba mpaka Aprili 2018

  Taarifa hii kama ilivyotelewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inatoa uchambuzi wa mifumo ya hali ya hewa na mwelekeo wa mvua za Msimu katika maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka katika kanda ya magharibi, kati, nyanda za juu kusini magharibi, maeneo ya kusini, ukanda wa Pwani ya kusini pamoja na maeneo ya kusini mwa mkoa wa Morogoro. Kutokana na mifumo ya hali ya hewa inayotarajiwa, mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka. Hata hivyo, vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika kipindi cha mwezi Januari 2018. Mvua hizi zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya mwezi Novemba na kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili 2018. Mvua zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mengi ya mkoa wa Dodoma, Singida, Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Lindi na Mtwara na kusini mwa mkoa wa Morogoro. Katika maeneo ya mkoa wa Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Lindi, Mtwara na kusini mwa mkoa wa Morogoro mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya mwezi Novemba, 2017 na kusambaa katika mikoa ya Dodoma na Singida katika wiki ya kwanza ya mwezi Desemba, 2017. Mtawanyiko hafifu wa mvua unatarajiwa katika maeneo ya Mikoa ya Lindi na Mtwara katika kipindi cha Januari hadi Februari, 2018 kipindi ambacho ukanda wa mvua unatarajiwa kuwa nje ya eneo la kusini mwa Tanzania. Mvua zinatarajiwa kuisha katika wiki ya mwisho ya mwezi Aprili, 2018 katika maeneo mengi yanayopata msimu mmoja wa mvua. Athari za matukio ya vipindi vifupi vya mvua kubwa yanatarajiwa kusababisha mafuriko katika maeneo machache. Milipuko ya magonjwa inaweza kujitokeza kutokana na uhaba wa maji safi na salama na uwepo wa mfumo hafifu ya maji taka hususani katika mij. Katika sekta ya Kilimo, hali ya unyevunyevu kwa ajili ya mazao na malisho ya mifugo na Wanyamapori inatarajiwa kuwa ya kuridhisha. Aidha, wazalishaji wa samaki wanashauriwa kutumia mbinu za kitaalamu katika ufugaji endelevu wa samaki. Wakulima na wafugaji. Endelea kusoma taarifa zaidi hapa. wanashauriwa kuvuna maji kipindi cha mvua kwa matumizi ya baadae.

  Continue reading
 • Msimu Rains Outlook over Unimodal Areas for November to April 2018

  Based on climate outlook for msimu rains (November, 2017 – April, 2018) released by Tanzania Meteorological Agency (TMA) on 17th October, the existed and expected climate systems indicated an elevated chance of normal to above normal rains over most parts of unimodal areas of Tanzania. However, occasional heavy rains are also expected over these areas especially towards the month of January 2018. The rainfall season was expected to start between the month of November and December 2017. Msimu rains are specific for the Western, Central, South-western highlands, Southern regions and Southern coast. These regions experience unimodal rainfall pattern, which starts in November and ends between April and May of the following year. Rains over these areas are expected to be normal to above normal over most areas. Rains are likely to be mainly normal to above normal over most parts of Dodoma, Singida, Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, southern sector of Morogoro, Lindi and Mtwara regions. In regions of Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Lindi, Mtwara and southern sector of Morogoro regions rains are expected to start in the first week of November, while over Dodoma and Singida regions rains are expected to start in December, 2017. The South-eastern parts of the unimodal areas (Mtwara and Lindi regions) are likely to experience poor rainfall distribution during the months of January and February, 2018 when the rainfall making mechanism is expected to be further South of the country. Rains are expected to cease during the fourth week of April 2018 over much of the unimodal areas. Expected impacts include incidences of short periods of heavy rainfall that may lead into floods and associated impacts to societies over few areas. There is a likelihood of outbreak of water borne diseases especially in areas with poor sewage systems over urban areas and in areas with shortage of safe water. In the agriculture sector, soil moisture levels for crops production as well as pasture production for livestock and wildlife is expected to improve. Fish farmers are advised to practice aquaculture and practice sustainable fishing. Both farmers and livestock keepers are advised to harvest rainwater for immediate and future use. You can also download the seasonal weather outlook report here.

  Continue reading