PIK- Monsoon monitor for Southern Tanzania, 2021

Mvua za Msimu Kusini mwa Tanzania kufikia mwisho wiki ya pili ya Mwezi Mei

Msimu wa mvua kusini mwa Tanzania unaelekea mwisho. Mvua zinazoendelea zinatarajiwa kufikia mwisho tarehe 5 Mei, huku kukoma kabisa kwa mvua kunatarajiwa wiki ya pili ya mwezi Mei. Utabiri huu unajumuisha maeneo ya kusini mwa Tanzania ( Nyuzi 10 Kusini, 35 Mashariki) yaani maeneo ya kusini mwa mkoa wa Mbeya, ziwa Malawi, na mkoa wa Songea.

Soma zaidi kupitia: https://www.pik-potsdam.de/en/output/infodesk/forecasting-indian-monsoon

Post a comment